Kizhuang cha Youjiang

Kizhuang ya Youjiang ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kizhuang ya Youjiang imehesabiwa kuwa watu 870,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizhuang ya Youjiang iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy